
![]() |
@sittamwandu | |
Simba na yanga ndio vilabu vikubwa hapa tanzania na afrika kote ila haviwezi kuwa kubwa mbele ya tff maana ni sawa na mtoto kudai kuwa mkubwa mbele ya baba yake.wengi mmeona kilichotokea kwenye ile dabi kilichotakiwa tff na mshirika wake bodi ya ligi wngesimamia kanuni zinazoendesha mpira wetu siyo busara,ukitumia busara unavunja haki ya mwingine.mkiendelee hivi kila team itakuwa inajipangia utaratibu wake.MPIRA BIASHARA |
||
0
Replies
2
Views
1 Bookmarks
|


